rais magufuli avunja mamlaka ya usimamizi wa mji mdogo wa kigamboni

selemani.nzaro@tsn.go.tz (Regina Mpogolo)

rais john magufuli amevunja mamlaka ya usimamizi wa mji mdogo wa kigamboni (kda) ambapo kuanzia sasa shughuli zote zilizokua zikifanywa na mamlaka hiyo zitafanywa manispaa ya kigamboni.

2017-09-13 10:39:00  

2017-09-13 09:02:00  

baraza la biashara shinyanga labariki jukwaa la uwekezaji

isdorykitunda@gmail.com (Kareny Masasy, Shinyanga)

baraza la biashara mkoa wa shinyanga limeazimia kufanya jukwaa la uwekezaji wa biashara mwishoni mwa mwezi huu kwa lengo la kutangaza fursa za kibiashara na uwekezaji uliopo ndani ya mkoa kwa kushirikiana na kampuni ya magazeti ya serikali (tsn)

2017-09-13 08:10:10  

tume ya mufti yakabidhi ripoti ya mali za bakwata

selemani.nzaro@tsn.go.tz (Mwandishi Wetu)

waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, william lukuvi amekutana na mufti wa tanzania, shehe mkuu abubakar zubeir pamoja ujumbe wake wa tume ya mufti iliyoundwa kuhakikisha kwamba mali za waislamu zinazomilikiwa na baraza kuu la waislamu

2017-09-13 06:05:00  

zitto, kubenea kitanzini

selemani.nzaro@tsn.go.tz (Beda Msimbe, Dodoma)

wabunge wawili wa vyama vya upinzani vya chadema na act-wazalendo wameitwa mbele ya kamati mbili za kudumu za bunge kujieleza kuhusu udhalilishaji wa kiti cha spika na bunge, huku wakitakiwa kutafutwa popote walipo na kufikishwa mbele ya bunge.

2017-09-13 06:04:00  

meja jenerali mstaafu apigwarisasi dar, rais magufuli amjulia hali

selemani.nzaro@tsn.go.tz (Mwandishi Wetu)

rais john magufuli ametembelea hospitali kuu ya jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania (jwtz) lugalo jijini dar es salaam na kumjulia hali meja jenerali mstaafu vincent mritaba aliyelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na watu wenye sil

2017-09-13 06:03:00  

meja jenerali mstaafu apigwarisasi dar, rais magufuli amjulia hali

selemani.nzaro@tsn.go.tz (Mwandishi Wetu)

rais john magufuli ametembelea hospitali kuu ya jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania (jwtz) lugalo jijini dar es salaam na kumjulia hali meja jenerali mstaafu vincent mritaba aliyelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na watu wenye sil

2017-09-13 06:03:00  

baraza la biashara shinyanga labariki jukwaa la uwekezaji

selemani.nzaro@tsn.go.tz (Karen Masasy, Shinyanga)

baraza la biashara mkoa wa shinyanga limeazimia kufanya jukwaa la uwekezaji wa biashara mwishoni mwa mwezi huu kwa lengo la kutangaza fursa za kibiashara na uwekezaji uliopo ndani ya mkoa kwa kushirikiana na kampuni ya magazeti ya serikali (tsn)

2017-09-13 06:02:00  

mmiliki viwanda aahidi kununua pamba yote nchini

selemani.nzaro@tsn.go.tz (Mwandishi Wetu)

mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya namera group of industries, hamza pardesi ameahidi kununua pamba yote itakayozalishwa nchini kuanzia msimu ujao.

2017-09-12 10:50:00  

tume haki za binadamu yamfagilia jpm

tume ya haki za binadamu na utawala bora (thbub) imepokea tamko la rais john magufuli kuhusu kutotekeleza adhabu ya kifo wakati wa uongozi wake, kuwa ni tamko lenye kuzingatia haki ya msingi ya kuishi.

2017-09-12 10:49:00  

rais magufuli amfariji meja jen. mribata lugalo

rais dk john pombe magufuli amemtembelea meja jen. mstaafu vincent mribata aliyelazwa katika hospitali ya lugalo baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha wakati akiingia nyumbani kwake ununio katika wilaya ya kinondoni jijini dar es salaam.

2017-09-12 12:01:00  

kiswahili kitaleta amani na utulivu afrika mashariki

isdorykitunda@gmail.com (Mwandishi Wetu)

waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo harison mwakiembe amesema kuwepo kwa kituo cha kamisheni ya kiswahili cha afrika mashariki zanzibar ni somo ambalo wenzao katika jumuiya hiyo wamejifunza kwamba amani na utulivu wanayoiona tanzania i

2017-09-06 02:01:36  

kiswahili kimeleta utengamano afrika mashariki

isdorykitunda@gmail.com (Mwandishi Wetu)

makamu wa rais wa serikali ya jamhuri ya tanzania samia suluhu hassan amesema kuwa jitihada za kufanikisha mtangamano na maendeleo endelevu katika ukanda wa afrika mashariki hazina budi kuainishwa na juhudi za kuhimiza matumizi ya kiswahili kama

2017-09-06 12:44:29  

中国古代文学 Global world news developer online documents developer online toolset Global E-commerce Global world images